Adabu za Choo
10 dua
1
بِسْمِ اللَّهِ، اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبُثِ وَالْخَبَائِثِ
Kwa jina la Allah. Ee Allah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na mashetani wa kiume na wa kike.
2
غُفْرَانَكَ
Naomba msamaha Wako.
3
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي أَذْهَبَ عَنِّي الْأَذَى وَعَافَانِي
Sifa njema zote ni za Allah ambaye ameniondolea udhia na kunipa afya.
4
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي أَذْهَبَ عَنِّي الْأَذَى وَعَافَانِي
Sifa njema zote ni za Allah ambaye ameniondolea udhia na kunipa afya.
5
بِسْمِ اللَّهِ
Kwa jina la Allah.
6
اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الرِّجْسِ النِّجْسِ الْخَبِيثِ الْمُخْبِثِ ا…
Ee Allah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na uchafu, unajisi, uovu na kila muovu, Shetani aliyelaaniwa.
7
غُفْرَانَكَ
Naomba msamaha Wako.
8
اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبُثِ وَالْخَبَائِثِ
Ee Allah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na mashetani wa kiume na wa kike.
9
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي أَذْهَبَ عَنِّي مَا يُؤْذِينِي وَأَمْسَكَ عَلَيَّ مَا …
Himdi zote ni za Allah Ambaye ameniondolea chenye kuniudhi na akanibakishia chenye kuninufaisha.
10
اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الرِّجْسِ النَّجِسِ الْخَبِيثِ الْمُخْبِثِ
Ee Allah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na uchafu, unajisi, uovu na kila muovu.