Mavazi
9 dua
1
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي كَسَانِي هَذَا الثَّوْبَ وَرَزَقَنِيهِ مِنْ غَيْرِ حَو…
Himdi zote ni za Allah Ambaye amenivisha nguo hii na akaniruzuku bila ya uwezo wala nguvu kutoka kwangu.
2
اللَّهُمَّ لَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ كَسَوْتَنِيهِ، أَسْأَلُكَ مِنْ خَيْرِهِ وَخَيْر…
Ee Allah, Himdi zote ni Zako. Wewe ndiye uliyenivisha hii. Nakuomba kheri yake na kheri ya kile ilichotengenezwa kwa ajili yake, na najiking…
3
بِسْمِ اللَّهِ
Kwa jina la Allah.
4
تُبْلِي وَيُخْلِفُ اللَّهُ تَعَالَى
Ivae mpaka ichakae, na Allah Aliyetukuka akupe nyingine badala yake.
5
اِلْبَسْ جَدِيدًا وَعِشْ حَمِيدًا وَمُتْ شَهِيدًا
Vaa nguo mpya, ishi maisha ya kuhimidiwa, na ufe ukiwa shahidi.
6
بِسْمِ اللَّهِ اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ مِنْ خَيْرِهِ وَخَيْرِ مَا هُوَ لَهُ…
Kwa jina la Allah. Ee Allah, hakika mimi nakuomba kheri yake na kheri ya kile ilichotengenezwa kwa ajili yake, na najikinga Kwako na shari y…
7
اللَّهُمَّ لَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ كَسَوْتَنِيهِ أَسْأَلُكَ مِنْ خَيْرِهِ وَخَيْرِ…
Ee Allah, Himdi zote ni Zako. Wewe ndiye uliyenivisha hii. Nakuomba kheri yake na kheri ya kile ilichotengenezwa kwa ajili yake, na najiking…
8
اللَّهُمَّ لَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ كَسَوْتَنِيهِ أَسْأَلُكَ خَيْرَهُ وَخَيْرَ مَا …
Ee Allah, Himdi zote ni Zako. Wewe ndiye uliyenivisha hii. Nakuomba kheri yake na kheri ya kile ilichotengenezwa kwa ajili yake.
9
اللَّهُمَّ اجْعَلْنِي مِمَّنْ يَلْبَسُ الْحَلَالَ
Ee Allah, nijaalie niwe miongoni mwa wanaovaa vya halali.