Kuingia Sokoni
7 dua
1
لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَ…
Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah Mwenyewe, hana mshirika. Ufalme ni Wake na sifa njema ni Zake. Huhuisha na hufisha, Naye ni…
2
سُبْحَانَ اللَّهِ وَالْحَمْدُ لِلَّهِ وَلَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَاللَّهُ أَكْ…
Ametakasika Allah na sifa njema zote ni za Allah, na hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah, na Allah ni Mkubwa zaidi.
3
لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَم…
Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah, hali ya kuwa peke Yake, hana mshirika. Ni Wake Ufalme na ni Zake sifa njema zote. Yeye huh…
4
سُبْحَانَ اللَّهِ وَالْحَمْدُ لِلَّهِ وَلَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَاللَّهُ أَكْ…
Ametakasika Allah, na sifa njema ni za Allah, na hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah, na Allah ni Mkubwa, na hapana hila wala n…
5
بِسْمِ اللَّهِ اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ خَيْرَ هَذِهِ السُّوقِ وَخَيْرَ مَا …
Kwa jina la Allah. Ee Allah, hakika mimi nakuomba kheri ya soko hili na kheri ya yaliyomo ndani yake, na najikinga Kwako kutokana na shari y…
6
لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَم…
Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah Mwenyewe, hana mshirika. Ufalme ni Wake na sifa njema ni Zake. Huhuisha na hufisha, Naye ni…
7
اللَّهُمَّ اجْعَلْ رِزْقِي حَلَالًا وَبَارِكْ لِي فِيهِ
Ee Allah, jaalia riziki yangu iwe ya halali na unibariki ndani yake.