Qurani·قرآني
Kiswahili

Mikutano

10 dua

1 سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ، أَس… Kutakasika ni Kwako Ee Allah, na sifa njema zote ni Zako. Ninashuhudia kwamba hapana mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Wewe. Ninakuomba… 2 رَبِّ اغْفِرْ لِي وَتُبْ عَلَيَّ إِنَّكَ أَنْتَ التَّوَّابُ الرَّحِيمُ Mola wangu! Nisamehe na upokee toba yangu, hakika Wewe ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu. 3 اللَّهُمَّ اجْعَلْ جَمْعَنَا جَمْعًا مَرْحُومًا وَتَفَرُّقَنَا بَعْدَهُ تَفَرُّق… Ee Mwenyezi Mungu, ijalie mkusanyiko wetu huu uwe wenye kurehemewa, na kutawanyika kwetu baada yake kuwe ni kwenye kulindwa na maasi. 4 سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ Ametakasika Allah na sifa njema zote ni Zake. ×3 5 رَبِّ اغْفِرْ لِي وَتُبْ عَلَيَّ إِنَّكَ أَنْتَ التَّوَّابُ الْغَفُورُ Mola wangu! Nisamehe na upokee toba yangu. Hakika Wewe ni Mwingi wa kupokea toba, Mwingi wa kusamehe. 6 سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ أَسْت… Kutakasika ni Kwako Ee Allah, na sifa njema zote ni Zako. Ninashuhudia kwamba hapana mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Wewe. Ninakuomba… 7 سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ سُبْحَانَ اللَّهِ الْعَظِيمِ Ametakasika Mwenyezi Mungu na sifa njema ni Zake, Ametakasika Mwenyezi Mungu Mtukufu. ×3 8 اللَّهُمَّ اجْعَلْ جَمْعَنَا هَذَا جَمْعًا مَرْحُومًا Ee Mwenyezi Mungu, ijalie mkusanyiko wetu huu uwe mkusanyiko wenye kurehemewa. 9 سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ أَسْتَغْفِرُكَ وَأَ… Utakatifu ni Wako Ee Mwenyezi Mungu na kwa sifa Zako njema. Hapana mungu apasaye kuabudiwa kwa haki ila Wewe. Nakuomba msamaha na natubu Kwa… 10 اللَّهُمَّ اجْعَلْ تَفَرُّقَنَا هَذَا تَفَرُّقًا مَعْصُومًا Ee Allah, ufanye kufarakana kwetu huku kuwe ni kufarakana kulikokingwa na madhambi.