Qurani·قرآني
Kiswahili

Wudu

12 dua

1 بِسْمِ اللَّهِ Kwa jina la Allah. 2 أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ، وَأَشْهَدُ أَ… Ninashuhudia kwamba hapana mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, hali ya kuwa Peke Yake, Hana mshirika, na ninashuhudia kwa… 3 اللَّهُمَّ اجْعَلْنِي مِنَ التَّوَّابِينَ وَاجْعَلْنِي مِنَ الْمُتَطَهِّرِينَ Ee Allah, nijaalie niwe miongoni mwa wenye kutubu, na nijaalie niwe miongoni mwa wenye kujitakasa. 4 سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ، أَسْ… Kutakasika ni Kwako Ee Allah, na sifa njema zote ni Zako. Ninashuhudia kwamba hapana mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Wewe. Ninakuomba… 5 اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي ذَنْبِي وَوَسِّعْ لِي فِي دَارِي وَبَارِكْ لِي فِي رِزْقِ… Ee Allah! Nisamehe dhambi yangu, na unikunjulie (baraka) katika nyumba yangu, na unibariki katika riziki yangu. 6 أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ وَأَشْهَدُ أَن… Ninashuhudia kwamba hapana mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, hali ya kuwa Peke Yake, Hana mshirika, na ninashuhudia kwa… 7 اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي ذَنْبِي وَوَسِّعْ لِي فِي دَارِي وَبَارِكْ لِي فِي رِزْقِ… Ee Allah! Nisamehe dhambi yangu, na unikunjulie (baraka) katika nyumba yangu, na unibariki katika riziki yangu. 8 سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ أَسْت… Kutakasika ni Kwako Ee Allah, na sifa njema zote ni Zako. Ninashuhudia kwamba hapana mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Wewe. Ninakuomba… 9 بِسْمِ اللَّهِ Kwa jina la Allah. 10 أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَر… Ninashuhudia kwamba hapana mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah, na ninashuhudia kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake. 11 اللَّهُمَّ بَيِّضْ وَجْهِي يَوْمَ تَبْيَضُّ وُجُوهٌ وَتَسْوَدُّ وُجُوهٌ Ee Allah! Ung'arishe uso wangu Siku ambayo nyuso zitang'ara na nyuso (nyingine) zitasawijika (kuwa nyeusi). 12 اللَّهُمَّ اجْعَلْنِي مِنَ التَّوَّابِينَ Ee Allah! Nijaalie miongoni mwa wenye kutubu.