Ee Allah, hakika mimi nakuomba mapenzi Yako, na mapenzi ya yule anayekupenda, na — Adhkar za Jioni
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ حُبَّكَ وَحُبَّ مَنْ يُحِبُّكَ وَحُبَّ عَمَلٍ يُقَرِّبُنِي إِلَى حُبِّكَ
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma innee as'aluka hubbaka wa hubba man yuhibbuk wa hubba 'amalin yuqarribunee ilaa hubbik
Tafsiri: Ee Allah, hakika mimi nakuomba mapenzi Yako, na mapenzi ya yule anayekupenda, na mapenzi ya amali itakayonikurubisha kwenye mapenzi Yako.
Marejeo: Tirmidhi 5:596