Qurani·قرآني
Kiswahili

Tumeingia katika jioni tukiwa katika maumbile ya Uislamu, na katika neno la ikhl — Adhkar za Jioni

أَمْسَيْنَا عَلَى فِطْرَةِ الْإِسْلَامِ، وَعَلَى كَلِمَةِ الْإِخْلَاصِ، وَعَلَى دِينِ نَبِيِّنَا مُحَمَّدٍ ﷺ، وَعَلَى مِلَّةِ أَبِينَا إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا مُسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ
Maandishi ya Kilatini: Amsaynaa 'alaa fitratil-islaam, wa 'alaa kalimatil-ikhlaas, wa 'alaa deeni nabiyyinaa Muhammadin sallallaahu 'alayhi wa sallam, wa 'alaa millati abeenaa Ibraaheema haneefan musliman wa maa kaana minal-mushrikeen
Tafsiri: Tumeingia katika jioni tukiwa katika maumbile ya Uislamu, na katika neno la ikhlasi (tauhidi), na katika dini ya Nabii wetu Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), na katika mila ya baba yetu Ibrahim, aliyekuwa mwongofu, Muislamu, na hakuwa miongoni mwa washirikina.
Marejeo: Ahmad 3:406-407
Rudi kwenye kategoria Fungua katika programu ya Qurani