Ee Allah, waghofirie walio hai miongoni mwetu na waliokufa, waliopo na wasiopo, — Kifo & Mazishi
اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِحَيِّنَا وَمَيِّتِنَا وَشَاهِدِنَا وَغَائِبِنَا وَصَغِيرِنَا وَكَبِيرِنَا وَذَكَرِنَا وَأُنْثَانَا
Maandishi ya Kilatini: Allaahummagh-fir lihayyinaa wa mayyitinaa, wa shaahidinaa wa ghaa'ibinaa, wa sagheerinaa wa kabeerinaa, wa dhakarinaa wa unthaanaa
Tafsiri: Ee Allah, waghofirie walio hai miongoni mwetu na waliokufa, waliopo na wasiopo, wadogo wetu na wakubwa wetu, na wanaume wetu na wanawake wetu.
Marejeo: Abu Dawud, Tirmidhi, Ibn Majah