Ee Allah, hakika mimi ni mja Wako, mtoto wa mja Wako mwanamume, mtoto wa mja Wak — Wasiwasi
اللَّهُمَّ إِنِّي عَبْدُكَ ابْنُ عَبْدِكَ ابْنُ أَمَتِكَ، نَاصِيَتِي بِيَدِكَ، مَاضٍ فِيَّ حُكْمُكَ، عَدْلٌ فِيَّ قَضَاؤُكَ، أَسْأَلُكَ بِكُلِّ اسْمٍ هُوَ لَكَ سَمَّيْتَ بِهِ نَفْسَكَ، أَوْ أَنْزَلْتَهُ فِي كِتَابِكَ، أَوْ عَلَّمْتَهُ أَحَدًا مِنْ خَلْقِكَ، أَوِ اسْتَأْثَرْتَ بِهِ فِي عِلْمِ الْغَيْبِ عِنْدَكَ، أَنْ تَجْعَلَ الْقُرْآنَ رَبِيعَ قَلْبِي، وَنُورَ صَدْرِي، وَجَلَاءَ حُزْنِي، وَذَهَابَ هَمِّي
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma innee 'abduka ibnu 'abdika ibnu amatik, naasiyatee biyadik, maadin fiyya hukmuk, 'adlun fiyya qadaa'uk, as'aluka bikulli ismin huwa laka sammayta bihi nafsak, aw anzaltahu fee kitaabik, aw 'allamtahu ahadan min khalqik, awista'tharta bihi fee 'ilmil-ghaybi 'indak, an taj'alal-Qur'aana rabee'a qalbee, wa noora sadree, wa jalaa'a huznee, wa dhahaaba hammee
Tafsiri: Ee Allah, hakika mimi ni mja Wako, mtoto wa mja Wako mwanamume, mtoto wa mja Wako mwanamke. Utosi wangu uko mikononi Mwako. Hukumu Yako kwangu inapitika, na makadirio Yako kwangu ni ya uadilifu. Nakuomba kwa kila jina ambalo ni Lako ulilojiita kwalo, au uliloliteremsha katika Kitabu Chako, au ulilomfundisha yeyote katika viumbe Vyako, au ulilolihifadhi katika elimu ya ghaibu Kwako, Uifanye Qur'ani kuwa ni uchangamfu wa moyo wangu, na nuru ya kifua changu, na yenye kuondosha huzuni yangu, na yenye kufuta mahangaiko yangu.
Marejeo: Ahmad 1:391