Qurani·قرآني
Kiswahili

Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Wewe, Utukufu ni Wako, hakika mimi ni — Wasiwasi

لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ سُبْحَانَكَ إِنِّي كُنْتُ مِنَ الظَّالِمِينَ
Maandishi ya Kilatini: Laa ilaaha illaa anta subhaanaka innee kuntu minadh-dhaalimeen
Tafsiri: Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Wewe, Utukufu ni Wako, hakika mimi nilikuwa miongoni mwa waliodhulumu nafsi zao.
Marejeo: Quran 21:87
Rudi kwenye kategoria Fungua katika programu ya Qurani