Ee Allah, nijaalie niwe mwenye subira na nijaalie niwe mwenye shukrani. — Subira
اللَّهُمَّ اجْعَلْنِي صَبُورًا وَاجْعَلْنِي شَكُورًا
Maandishi ya Kilatini: Allaahummaj-'alnee sabooran waj'alnee shakooran
Tafsiri: Ee Allah, nijaalie niwe mwenye subira na nijaalie niwe mwenye shukrani.
Marejeo: Al-Bayhaqi