Qurani·قرآني
Kiswahili

Na wabashirie wanaosubiri, ambao unapowasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa All — Subira

وَبَشِّرِ الصَّابِرِينَ الَّذِينَ إِذَا أَصَابَتْهُمْ مُصِيبَةٌ قَالُوا إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ
Maandishi ya Kilatini: Wa bashshiris-saabireenal-ladheena idhaa asaabat-hum museebatun qaaloo innaa lillaahi wa innaa ilayhi raaji'oon
Tafsiri: Na wabashirie wanaosubiri, ambao unapowasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Allah na kwake Yeye tutarejea.
Marejeo: Quran 2:155-156
Rudi kwenye kategoria Fungua katika programu ya Qurani