Mola wangu, nijaalie niwe mwenye kusimamisha swala, na katika kizazi changu pia. — Watoto
رَبِّ اجْعَلْنِي مُقِيمَ الصَّلَاةِ وَمِنْ ذُرِّيَّتِي رَبَّنَا وَتَقَبَّلْ دُعَاءِ
Maandishi ya Kilatini: Rabbij-'alnee muqeemas-salaati wa min dhurriyyatee rabbanaa wa taqabbal du'aa'
Tafsiri: Mola wangu, nijaalie niwe mwenye kusimamisha swala, na katika kizazi changu pia. Mola wetu, na upokee dua yangu.
Marejeo: Quran 14:40