Mola wangu, nijaalie (mtoto) miongoni mwa watenda mema. — Watoto
رَبِّ هَبْ لِي مِنَ الصَّالِحِينَ
Maandishi ya Kilatini: Rabbi hab lee minas-saaliheen
Tafsiri: Mola wangu, nijaalie (mtoto) miongoni mwa watenda mema.
Marejeo: Quran 37:100