Mola wangu, usiniache peke yangu bila mrithi, na Wewe ni Mbora wa warithi. — Watoto
رَبِّ لَا تَذَرْنِي فَرْدًا وَأَنْتَ خَيْرُ الْوَارِثِينَ
Maandishi ya Kilatini: Rabbi laa tadharnee fardan wa anta khayrul-waaritheen
Tafsiri: Mola wangu, usiniache peke yangu bila mrithi, na Wewe ni Mbora wa warithi.
Marejeo: Quran 21:89