Ee Allah, hakika mimi nakuomba uongofu, ucha Mungu, staha, na kutosheka. — Dua za Kila Siku
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ الْهُدَى وَالتُّقَى وَالْعَفَافَ وَالْغِنَى
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma innee as'alukal-hudaa wat-tuqaa wal-'afaafa wal-ghinaa
Tafsiri: Ee Allah, hakika mimi nakuomba uongofu, ucha Mungu, staha, na kutosheka.
Marejeo: Muslim 4:2087