Qurani·قرآني
Kiswahili

Mola wangu, nikunjulie kifua changu na unifanyie sahali mambo yangu. — Dua za Kila Siku

رَبِّ اشْرَحْ لِي صَدْرِي ۝ وَيَسِّرْ لِي أَمْرِي
Maandishi ya Kilatini: Rabbishrah lee sadree, wa yassir lee amree
Tafsiri: Mola wangu, nikunjulie kifua changu na unifanyie sahali mambo yangu.
Marejeo: Quran 20:25-26
Rudi kwenye kategoria Fungua katika programu ya Qurani