Qurani·قرآني
Kiswahili

Mola wetu, tupe kheri duniani na kheri Akhera, na utuepushe na adhabu ya Moto. — Dua za Kila Siku

رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ
Maandishi ya Kilatini: Rabbanaa aatinaa fid-dunyaa hasanatan wa fil-aakhirati hasanatan wa qinaa 'adhaaban-naar
Tafsiri: Mola wetu, tupe kheri duniani na kheri Akhera, na utuepushe na adhabu ya Moto.
Marejeo: Quran 2:201
Rudi kwenye kategoria Fungua katika programu ya Qurani