Qurani·قرآني
Kiswahili

Mola wetu, usizipotoe nyoyo zetu baada ya kuwa umeshatuongoza, na utupe rehema k — Dua za Kila Siku

رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِنْ لَدُنْكَ رَحْمَةً إِنَّكَ أَنْتَ الْوَهَّابُ
Maandishi ya Kilatini: Rabbanaa laa tuzigh quloobanaa ba'da idh hadaytanaa wa hab lanaa min ladunka rahmatan innaka antal-wahhaab
Tafsiri: Mola wetu, usizipotoe nyoyo zetu baada ya kuwa umeshatuongoza, na utupe rehema kutoka Kwako. Hakika Wewe ndiye Mpaji mkuu.
Marejeo: Quran 3:8
Rudi kwenye kategoria Fungua katika programu ya Qurani