Sifa njema zote ni za Allah Ambaye ametuongoa kwenye haya, na tusingekuwa wenye — Kula & Kunywa
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي هَدَانَا لِهَذَا وَمَا كُنَّا لِنَهْتَدِيَ لَوْلَا أَنْ هَدَانَا اللَّهُ
Maandishi ya Kilatini: Alhamdu lillaahil-ladhee hadaanaa lihadhaa wa maa kunnaa linahtadiya lawlaa an hadaanallaah
Tafsiri: Sifa njema zote ni za Allah Ambaye ametuongoa kwenye haya, na tusingekuwa wenye kuongoka kama si Allah kutuongoa.
Marejeo: Quran 7:43