Ee Allah, tubarikie katika chakula hiki na Utulishe kilicho bora kuliko hiki. — Kula & Kunywa
اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِيهِ وَأَطْعِمْنَا خَيْرًا مِنْهُ
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma baarik lanaa feehi wa at'imnaa khayran minhu
Tafsiri: Ee Allah, tubarikie katika chakula hiki na Utulishe kilicho bora kuliko hiki.
Marejeo: Abu Dawud 3:358, Tirmidhi 5:506