Qurani·قرآني
Kiswahili

Ee Allah, tubarikie katika chakula chetu na Utughofirie na Uturehemu. — Kula & Kunywa

اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِي طَعَامِنَا وَاغْفِرْ لَنَا وَارْحَمْنَا
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma baarik lanaa fee ta'aaminaa waghfir lanaa warhamna
Tafsiri: Ee Allah, tubarikie katika chakula chetu na Utughofirie na Uturehemu.
Marejeo: General supplication
Rudi kwenye kategoria Fungua katika programu ya Qurani