Ee Allah, tubarikie katika vile Ulivyoturuzuku na Tuepushe na adhabu ya Moto. Kw — Kula & Kunywa
اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِيمَا رَزَقْتَنَا وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ بِسْمِ اللَّهِ
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma baarik lanaa feemaa razaqtanaa wa qinaa 'adhaaban-naar. Bismillaah
Tafsiri: Ee Allah, tubarikie katika vile Ulivyoturuzuku na Tuepushe na adhabu ya Moto. Kwa jina la Allah.
Marejeo: Ibn as-Sunni