Qurani·قرآني
Kiswahili

Ee Allah, neema yoyote niliyopambazukiwa nayo basi inatoka Kwako Wewe peke Yako, — Adhkar za Asubuhi

اللَّهُمَّ مَا أَصْبَحَ بِي مِنْ نِعْمَةٍ فَمِنْكَ وَحْدَكَ لَا شَرِيكَ لَكَ
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma maa asbaha bee min ni'matin faminka wahdaka laa shareeka lak
Tafsiri: Ee Allah, neema yoyote niliyopambazukiwa nayo basi inatoka Kwako Wewe peke Yako, huna mshirika.
Marejeo: Abu Dawud 4:318
Rudi kwenye kategoria Fungua katika programu ya Qurani