Ee Allah, hakika mimi nakuomba msamaha na afya (njema) duniani na Akhera. — Adhkar za Asubuhi
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ الْعَفْوَ وَالْعَافِيَةَ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma innee as'alukal-'afwa wal-'aafiyata fid-dunyaa wal-aakhirah
Tafsiri: Ee Allah, hakika mimi nakuomba msamaha na afya (njema) duniani na Akhera.
Marejeo: Abu Dawud 4:318