Ee Allah, hakika mimi nakuomba elimu yenye manufaa, na riziki njema, na amali ye — Adhkar za Asubuhi
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ عِلْمًا نَافِعًا، وَرِزْقًا طَيِّبًا، وَعَمَلًا مُتَقَبَّلًا
Maandishi ya Kilatini: Allaahumma innee as'aluka 'ilman naafi'an, wa rizqan tayyiban, wa 'amalan mutaqabbalan
Tafsiri: Ee Allah, hakika mimi nakuomba elimu yenye manufaa, na riziki njema, na amali yenye kukubaliwa.
Marejeo: Ibn Majah 1:152