Allah ananitosheleza, hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Yeye, Kwake nim — Adhkar za Asubuhi
حَسْبِيَ اللَّهُ لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ عَلَيْهِ تَوَكَّلْتُ وَهُوَ رَبُّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ
Maandishi ya Kilatini: Hasbiyallaahu laa ilaaha illaa huwa 'alayhi tawakkaltu wa huwa rabbul-'arshil-'adheem
Tafsiri: Allah ananitosheleza, hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Yeye, Kwake nimetawakali, na Yeye ndiye Mola wa Arshi (Kiti cha Enzi) Tukufu.
Rudia: 7 mara
Marejeo: Abu Dawud 4:321