Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah Mwenyewe, hana mshirika. Ufalme — Adhkar za Asubuhi
لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ يُحْيِي وَيُمِيتُ وَهُوَ حَيٌّ لَا يَمُوتُ بِيَدِهِ الْخَيْرُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ
Maandishi ya Kilatini: Laa ilaaha illallaahu wahdahu laa shareeka lah, lahul-mulku wa lahul-hamdu yuhyee wa yumeetu wa huwa hayyun laa yamootu biyadihil-khayru wa huwa 'alaa kulli shay'in qadeer
Tafsiri: Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah Mwenyewe, hana mshirika. Ufalme ni Wake na sifa njema ni Zake. Huhuisha na hufisha, Naye ni Hai asiyekufa. Kheri zote zimo mikononi Mwake, Naye ni Muweza wa kila kitu.
Rudia: 10 mara
Marejeo: Tirmidhi 5:515, Ibn Majah