Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah pekee, Hana mshirika. Ni Wake U — Adhkar za Asubuhi
لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ، يُحْيِي وَيُمِيتُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ
Maandishi ya Kilatini: Laa ilaaha illallaahu wahdahu laa shareeka lah, lahul-mulku wa lahul-hamd, yuhyee wa yumeetu wa huwa 'alaa kulli shay'in qadeer
Tafsiri: Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah pekee, Hana mshirika. Ni Wake Ufalme na ni Zake sifa njema zote, Anahuisha na Anafisha, na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza.
Rudia: 10 mara
Marejeo: Tirmidhi 5:515